Do or don't there's no try.🍀

everywhere in Tanzania
Binafsi twita nakujaga kurefresh mind sijawai kua siriazi na huu mtandao we ukinichukulia siriazi humu we utajua mwenyewe.
23
35
74
8,498
simo_northern47 retweeted
Asake- worship 🙏
1
3
99
simo_northern47 retweeted
Getting very rich is predictable not risky
1
1
64
simo_northern47 retweeted
Music and books both of them had impact on my life
1
1
34
Ni bora kuoa single maza kuliko Kulea mimba ya mtoto ambae sio wako na hujui.
11
17
28
1,005
simo_northern47 retweeted
*BEI MPYA SOUNDBAR [AIWA]* 220 Watts ______ *200,000*. 250 Watts ______ *240,000*. 300 Watts ______ *260,000*. 400 Watts ______ *285,000*. 450 Watts ______ *330,000*. 500 Watts ______ *345,000* 700 Watts ______ *360,000*. 800 watts ______ *380,000*
4
24
42
1,631
simo_northern47 retweeted
Kuna mwanangu tunapiga kazi pamoja, mke wake alijifungua, Mimi nikaenda kumwona mtoto baada ya week, Wife wake kuniona tu akatoka sebuleni akampeleka mtoto chumbani, Et kwa tamaduni zao unaweza kua umetoka kwa malaya umwachie mtoto spirit za umalaya ama unaweza kua umetoka kuiba umwachie mtoto tabia za wizi. Cha kushangaza zaidi hawaku-imagine kama nimetoka kanisani labda nimwachie mtoto baraka Hahah
12
13
52
2,497
simo_northern47 retweeted
Vijana wa folex bwana wakitoboa kidogo tuu, ushauri wa maisha unakuwa mwingi sana 🤣🤣🖕🏾
1
3
4
123
simo_northern47 retweeted
Trump accounts are giving the next generation an opportunity to achieve the American dream. 🇺🇸💰 Nearly 70 million children have already been signed up. Give your child a stake in America's future: Trumpaccounts.gov
347
596
1,843
93,496
simo_northern47 retweeted
Siku ya mahafari hata kama ulikua mchafu vipi shule hiyo siku hata uvae zile zile sare za shule unaonekana muhitimu unapendeza automatic
10
17
284
nishaambiwa "niko poa pia" enhee wajuzi wa mambo what's next
10
8
29
1,970
simo_northern47 retweeted
Suits with unique material from Turkey utazipata hapa @suitmseleleko >Two pieces(koti Shirt: 30,000 >Chain: 10,000 Ua: 10,000 >Tie and a pocket square: 15,000 >Complete set (kila kitu kama ilivyo): 235,000 Location: Msimbazi kariakoo. Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) Delivery: Mikoani tunatuma na Dar es salaam tunakuletea ulipo kwa uharaka na kuokoa mda kwa gharama nafuu. 📞Call/WhatsApp: 0762617089
1
12
14
264
simo_northern47 retweeted
Mdada mzuri ila first meal unakula saa saba.
5
6
27
1,312
simo_northern47 retweeted
Leo mifugo yangu nyuki wamegonga sana, nan Anajua Dawa ase maan hata kula zimeshindwa 🙏
2
5
152
simo_northern47 retweeted
Huyu dada anachekesha😁💔🙌🏻
94
26
248
22,168
simo_northern47 retweeted
Wale kuku wa KFC walinishinda😭
19
6
57
2,444
simo_northern47 retweeted
Tunaoelekea biashara bila kuonyesha tako views watakua wachache sana 🤣🙌🏼 Yaani mmefika mpaka kwenye viwanja daah
19
18
254
12,379
simo_northern47 retweeted
لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ "Msikate tamaa na rehema ya Allah." — Qur’an 39:53 Usikate tamaa. Kila siku ni nafasi mpya ya kuanza tena na kupambana kwa imani. Good morning ✊🏾
7
17
24
447
simo_northern47 retweeted
Wakuu sote tunajua jinsi gani huko kwa ground ni kwa moto naamini wapo wadau wanaweza mfosia mchongo mdogo wetu maelezo yake yamenyooka kabisa hayana kipengele. Turepost ifike mbali mwanetu apate mchongo. Natanguliza shukrani sana🙏🏾🙏🏾
11
26
60
3,975
simo_northern47 retweeted
Asilimia kubwa ya simu za Millenial Pin ya Mobile Money lazima itakua “2580” au “2587” sijuh nani aliwakaririsha hii aise.😂😂
3
7
12
335
simo_northern47 retweeted
Initial reports of severe GPS disruption in Tehran.
14
101
1,190
69,309