Arsenal is my homeland | I'm the future man | I left home to build home | Life is about choice with right time, ~🔴COYG⚪️~.

Tanzania
Pinned Tweet
🇰🇪 | Samburu County, Kenya inapatikana jamii ya Wasamburu waishio kaskazini mwa nchi hiyo. Makao makuu ya eneo hilo ni Maralal. Utamaduni wa kipekee kutoka kwa Wasamburu huadhimisha sherehe ya kimila iitwayo Lmuget (Age-set) kila baada ya miaka 7. Ni sherehe ya mpito kutoka hatua moja ya maisha kwenda nyingine katika kundi la vijana. Ndani ya sherehe hiyo kuna mfumo wa hatua za maisha wa Wasamburu ujulikanao kama Lmuget le Nkarna. Ikiwa na maana ya kundi la vijana (Moran/warriors graduation) kutambulishwa rasmi kama kundi la Moran lenye hadhi na jukumu jipya katika jamii. NB: Wanafanya kile ambacho wazee wenu hawakufanya😁
25
326
14,227
863,724
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Ila njaa bhn
1
1
18
sanjo retweeted
anapakaza mchimbi kapotezwa Wakati Mke wa Nchimbi hajamtafuta Mkewe...Shenzi sana watu wengine..Kijana amefanya Vizuri.. Kukosoa wazushi wa Chadema kupakaza kila kitu wanachoona kinaning'inia hata kama hakina Ukkweli.. Saaa hii@Heche
Kuitetea nchi yako si lazima kutetea kila kiongozi. Unaweza kuipenda nchi yako na wakati huohuo kukosoa uongozi wake ili uboreshwe. Hawa watu wana namna hii wanaipenda nchi yao au wanawapenda viongozi wao au wanapenda mambo gani.
1
1
8
sanjo retweeted
Chadema Yenyewe Maskini.. Itahusikaje tena wakati yenyewe ni GONJwa?
1
1
1
7
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
😂😂ttzo njaaa
1
1
1
130
sanjo retweeted
UVCCM: Wanu tunampenda sana na adumu katika moyo ya ccm. Mchengerwa katuzingua, CCM wanamanisha kuwa MCHENGERWA ANAHIRIBIA MATUMBO YA UVCCM WASIWEZE KUKOMBA KEKI YA TAIFA. Angalieni waliopo kwenye mikutano hao wananchi ni kama vile mateja🤔
1
2
105
sanjo retweeted
Mei 20, 2025, Asubuhi, akaunti za taasisi kadhaa zilidukuliwa Tanzania. Taasisi zilizoathirika ni Jeshi la Polisi, TRA,TIC,Airtel Tanzania, Simba SC, CCM na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wadukuzi walichapisha taarifa zenye madai kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefariki
2
2
67
Replying to @sanjo__1
watapasuana sana, mana hamna wa kuwapa upinzani so wanaishia kulana wenyewe
1
1
2
231
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Angelikuwa ni chadema ,hapo angeshadakwa na kesi ya uchochezi/ugaidi n.k.
1
1
1
69
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Hii ni universal pocket wi-fi kutoka brand ya ZTE, moja kati ya vifaa imara sana hasa maeneo ya vijijini ndani ndani huko.
1
1
1
42
sanjo retweeted
Sijui kanuni zinasemaje lakini, hivi haiwezekani kuwa na Daladala (VIP) hizi zinachukua level seat tu na nauli kwa kila kituo inakua ni Tsh 1000, Maana kuna muda mtu anakua amechoka na anachohitaji ni kufika kazini/nyumbani na anatamani kupata seat. Hapo kunakua na Free Wi-Fi.
17
24
144
4,782
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
so hao ndo vijana wa ccm😂😂
1
3
350
Replying to @sanjo__1
Mashoga wengi kweli kweli skuizi 🤣🤣🤣🤣 uzembe tu wakufny kazii
1
1
1
191
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Waulize Nchimbi yupo wapi
1
1
1
206
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Wangeweka Nguvu kwenye swala lakuinasua Nchi na umasikini CDM hawahusiki na umasikini wa nchi hii
3
1
1
218
sanjo retweeted
Replying to @sanjo__1
Maskini njaa mbaya sana
1
1
1
227
Replying to @sanjo__1
Kuna tofauti ya kuipenda nchi yako na kuipenda serikali yako. Uzalendo ni kusimama na nchi yako hata kama utakua kinyume na serikali yako. Wengi ni watetea serikali sio nchi, ndio sababu hawawezi ikosoa serikali inapoumiza nchi.
1
1
8
279
sanjo retweeted
Wengi wanatafuta ajira na sio kazi. Endelea kutafuta ajira ndugu.
1
4
122