nitter
Tajirikabisa
@tajirikabisa
silence man
Joined April 2022
Tweets
2,232
Following
1,067
Followers
554
Likes
164,587
43 Photos and videos
43 Photos and videos
Tweets
Tweets & Replies
Media
Articles
Search
Tajirikabisa retweeted
_kox_(Eldoret)
@ki_moo_tai
Oct 15
"Babe pole nililala but tunawezaa achanaa kama unajam"
21
134
912
7,604
Tajirikabisa retweeted
MasterPlan🇹🇿
@master_plan6
Oct 15
Mara nyingi ndoa za sogeza tukae zinadumu sana kuliko hizo zenu za masherehe kila kona.
22
34
162
4,257
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 16
Akaja ameshika vipisi vya kete,Kisha akanidadisi si kibwege aka shout…Nasikia harufu ya polisi kwa huyu bwege…!!!
7
Tajirikabisa retweeted
Sean |🦩
@iboysean
Oct 14
Mimi mtu ukiwa mjivuni hatuwezi kuelewana vizuri sababu mimi mwenyewe mjivuni, sasa unataka ujivunie ujivuni wako kwa mjivuni mwenye ujivuni wake 😂
10
9
147
3,552
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 13
Leo wakamaria msimpe altetico tunakazi nae mtakuja kunishukuru 😎⚔️
8
Tajirikabisa retweeted
Steph.
@LifeofSteph_1
Oct 12
Siku mtu afungue space ya mashabik wa Man u tujadiliane kwa kina.
29
17
99
1,763
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 12
Wanawake pakeni lips stick original jamn tunaharisha 🙁
11
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 11
Hizi game za kariakoo dzyne zimepoteza mvuto flani ivii day after day
1
11
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 11
Hizi story za demu unakutana nae leo leo aanza kukwambia gesi imeisha nilijuaga utani wakuu🤔
2
30
Tajirikabisa retweeted
NYANI MZEE
@jwise017
Oct 11
Ukitumiwa “view once” maana yake HUAMINIKI.
17
40
340
15,745
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 10
Kabla hakujapambazuka carrick nisimuone kwenye timu
1
13
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 9
Ukiona kusema HAPANA huwezi au ukisema roho inakuuma bas jua apo ndo kwenye mafanikio yako
1
18
Tajirikabisa retweeted
ochola..🦅⚠️
@therealrigoh
Oct 9
Binti anataka aishi maisha mazuri kupitia mwanaume 😂😂
13
15
43
878
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 9
Kuna muda kaa pekeako jifanyie tathimini utagundua kuna mambo mengi unajidanganya sana
1
22
Tajirikabisa retweeted
Lubasha Jr
@MarekaMalili
Oct 8
When your mind is calm, hakuna jambo mbele yako hata linatisha.
4
18
139
5,295
Tajirikabisa retweeted
The champ👑
@fintanjr_
Oct 8
Kuoa single maza huwa raha akiolewa dada yako ambaye ndio huyo single maza, ila wewe ndio uoe single maza,.. lazma familia zipige YOWE😂💔...
21
39
270
9,258
Tajirikabisa retweeted
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI
@maestrowafact
Oct 8
Ukianza tu kudate na single maza ndo unagundua kwa nn baba mtoto alimtelekeza huyo mwanamke😅😅😅
24
33
242
13,477
Tajirikabisa retweeted
Maluu_26
@maluu_captain
Oct 8
🚨Ntaanza upya kesho hii nina matumizi nayo kwanza..!😂🙌
25
39
150
3,727
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 8
Humu ndani unaweza kuzama DM kwa manzi kumbe mwanaume mwenzio 😁
2
14
Tajirikabisa
@tajirikabisa
Oct 8
Dem anaekupenda kukuharibia siku ni dk O
7
Load more