Usiamini tweet zangu
2
13
77
Nivumilie nimesema sikwaachi Nishasema nakupenda hata kushinda mitikasi Wapi, unapopataka let鈥檚 go
1
59
steers una ikumbuka 馃槅 robo ya kizazi flani apa tl walikua mkoa
Kabla ya KFC tulikuwa na hii
10
15
1,687
Michongo sio kuvaa suti Millard Ayo anakwenda sehemu flani hana ata suti nice
3
2
57
2,002
Yes kaka ni baraka
Mlio kwenye ndoa, leo tuambieni ukweli. Ni kweli ndoa ni baraka ?. Ni kweli mlipopata watoto na milango yenu ilifunguka ?
1
4
468
Nime muona mtu kama wew kwenye tv una furahia huduma za crdb @bijou_ms
1
4
1,122
Hata kama mtu hana hela sio
Hali ya hewa inataka mabusu mawili matatu na ginger tea 鈽癸笍
2
7
1,340
Mwili wote hoi mtu anataka unganishe goli , bila ya yai la kware hutoboi
Hao wanataka Vijana wa kuunganisha Goli mie siwezi 馃槅
1
362
Mh
Wewe 馃ぃ馃槶
1
1
412
Unajua hata mwanaume wa mwanzo Tanzania kuolewa katokea huko
Nimegundua kuwa watu wana chuki sana na Wachaga, Watu wa Moshi na Watu wa Arusha Ni kwanini?
30
11
108
10,582
Ana miezi sita tu ya ule uteuzi
4
57
6,080
Kuna comment nimona wanapenda ndoa ili wazulumu watu 馃ぃ
Ila huko insta kwenye page za MaMC wa mjini wasichana wakichaga wanaongoza kuolewa 馃
177
Jiji lenu penz ni biashara sio
Kawaida hyo 馃槀
143
Ukiwa hujatoa pesa ndio hupendwi sio
6
2
17
2,023
Wakubwa kuna nafasi za kazi flight link Pilot
2
2
13
772
Sema machaliii niaje mumekuaje aiseee
VIDEO: Hali ya taharuki imeibuka hii leo Oktoba 5,2026 katika Mtaa wa Sanare, Kata ya Daraja mbili jijini Arusha baada ya binti mwenye umri wa miaka 22, anayefanya kazi ya kusajili laini za simu, kudai kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile na vijana wanne katika moja ya vyumba vilivyopo eneo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari akiwa katika Ofisi ya Mtaa wa eneo hilo, binti huyo (jina limehifadhiwa) amesema alifika katika eneo hilo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo ya kusajili laini ndipo alipokutana na kijana aliyemwambia anahitaji kusajili laini, lakini baadaye alijikuta katika mazingira ya kutishiwa na kufanyiwa vitendo hivyo. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema wamesikitishwa sana na tukio hilo, huku wakiziomba mamlaka kufanya uchunguzi wa kina na kuwakamata wote watakaobainika kuhusika, ili hatua za kisheria zichukuliwe na iwe fundisho kwa wengine. Wakazi hao pia wameeleza kuwa hali ya usalama katika eneo hilo si nzuri, wakidai kumekuwa na mwendelezo wa matukio mbalimbali ya uhalifu. Wameziomba mamlaka kuongeza ulinzi na kuchukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto hiyo. Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuwakamata baadhi ya vijana wanaoshukiwa kuhusika, huku binti huyo akikimbizwa hospitalini kwa ajili ya kufanyiwa vipimo na kupata matibabu zaidi.
224
Sasa izo ata zenj si zipo
Replying to @iamthatfemale
Walifunga Goba kipindi cha maandamano zilitolewa zote
1
4
482
Sijaelewa kingereza ila upo sahihi
morogoro has to be one of the slow growing town
1
4
378
Sema bora morogoro kufungwe wadudu tu mji haueleweki
Afande sele nae kaungana na mimi
1
4
583
Na nani ?
Nikiolewa, one of my favorite things to do on weekends itakuwa kualika marafiki, tupike, tugonge twaaas 馃馃槀, na tufurahie maisha pamoja na our hubbies and kids. InshaAllah 馃げ馃徑鉂わ笍
2
4
1,132