FREE TUNDU LISSU FREE TUNDU LISSU

Afghanistan
Mkundu wako
Jambo TV
28
MOST WANTED JR retweeted
VIDEO: Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga imeahirisha kesi ya ugaidi inayomkabili Katibu wa CHADEMA Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami, pamoja na wenzake 16 hadi tarehe 20 Oktoba 2026, kutokana na Upande wa Mashtaka kueleza kuwa upelelezi bado haujakamilika. Kesi hiyo imeahirishwa baada ya Mahakama kutoa muda wa siku 14 zilizoombwa na Upande wa Mashtaka ili kukamilisha upelelezi huo au kuchukua hatua nyingine za kisheria iwapo watashindwa kukamilisha kabla ya tarehe hiyo. Akizungumza mara baada ya kuahirishwa kwa shauri hilo leo Jumatano, Wakili wa Upande wa Utetezi, Alex Dotto Massaba, amebainisha kuwa mawakili wako tayari kupigania haki zao pindi upelelezi utakapokamilika pindi upelelezi utakapokamilika na shauri hilo kuhamishiwa Mahakama Kuu, jopo kubwa la mawakili litajitokeza kuwatetea wanachama hao. “Lakini mnafahamu mmesikia mahakama imetoa siku 14 walizoomba ili waweze kukamilisha upelelezi... Na kama hawakamilishi kwa namna wanavyoongea ni kana kwamba wanataka kuiondoa hii kesi... Tuko imara, tumekunywa maji mengi hatutachoka”, ameeleza. Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa amekosoa kuendelea kuwekwa mahabusu kwa Mnyawami na wenzake kwa zaidi ya siku 100 bila upelelezi kukamilika, akibainisha kuwa hatua hiyo inaenda kinyume cha misingi ya Haki Jinai inayotaka upelelezi ukamilike kabla mtuhumiwa hajafikishwa mahakamani. Golugwa amesisitiza kuwa chama hicho kitaendelea kuwasimamia na kuziunga mkono familia za mahabusu hao, huku akitoa wito kwa wanachama na wananchi kuendelea kuwa karibu na kutoa faraja kwa familia hizo katika kipindi hiki kigumu.
3
8
38
3,049
MOST WANTED JR retweeted
Leo viongozi na wanachama 17 wakiongozwa na Katibu wa Kanda ya Serengeti Jackson Rashid Mnyawami wamepandishwa kizimbani, Mahakama ya Hakimu mkazi wa Mkoa wa Shinyanga dhidi ya mashitaka ya Ugaidi yanayowakabili. Mashauri ya leo ni pamoja na Economic case namba 16506/2026 inayomkabili Jackson Rashid Mnyawami, Mashauri mengine ni Economic Case No. 16503/2026, inayomkabili Jackson Venant Kabyeseleza, Economic Case No. 16504/2026 Inayomkabili Edwin Otieno Ongito na wenzake 8, Economic Case No. 16505/2026, inayomkabili Daniel Emanuel Athuman , Economic case namba 16506/2026 inayomkabili Laurent na wenzake 4.
34
114
2,633
Vyama gani vilivyopewa nafasi sawa labda vyama vya mfukoni. Chama cha upinzani @ChademaTZ2 kila siku wanachama wake wanatekwa kupotezwa na wengine wapo MAHABUSU kwa kesi za UONGO. Kiongozi wa upinzani @TunduALissu yupo MAHABUSU kwa kesi ya uongo ya UHAINI
Jambo TV
2
83
MOST WANTED JR retweeted
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia bbc.in/4rNJapu
8
82
414
12,937
MOST WANTED JR retweeted
Huyu ndiye Samwel Chacha maarufu kwa jina la Masaga; Dereva wa Bodaboda na Mwanachama wa CHADEMA Kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara ambaye alimtumia Mwenyekiti wetu Tundu Lissu kiasi cha Tsh.45,000/= baada ya kuuza mihogo' kwa kushirikiana na Mke wake.
19
144
792
14,084
MOST WANTED JR retweeted
Ndugu @ngurumo unapaswa kujua umuhimu wa @freemanmbowetz kwa siasa za sasa alitakiwa aoneshe umuhimu wa kuwa mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa upinzani waliompambania wote leo amewatenga na kushirikiana na watesi wa @ChademaTZ2 na kupanga maovu juu ya viongozi wa #CDM atalaumiwa tu
Sawa hakuna wakuifuta history ya Mbowe @ChademaTZ2 lakini utambue Mbowe mwenyewe anafuta history yake @ChademaTZ2 Kama unabisha bisha tuu lakini ukweli ndio huo.
2
2
30
Wangemaliza kona 5000/= 1lts NB:-Tuendelee kula mtori nyama zipo chini. NB:-Acha inyeshe tuone panavuja.
33
MOST WANTED JR retweeted
Sio ajabu anayetoa vitisho hivi hana uhakika wa kula mlo kamili. Kimaskini kimoja kinatumiwa kutisha maskini wengine huku kikidhani nacho kimekuwa kibwanyenye. Upumbavu na ulofa mtupu!!
7
43
286
12,344
MOST WANTED JR retweeted
Wengine tushamsahau . RIP MASHUJAA WETU WALIOWAWA AKIWA MWENYEKITI. ALIKUWA ACT AS YUKO UPANDE WA HAKI KUMBE ILIKUWA BIASHARA YA KUUZA VICHWA. #FREETUNDULISSULISSU
1
1
26
Watu wa #Loliondo wamtekwa nyara na polisi leo! Free Nangei Meitaya, @SalangatM , Ezekiel Kishau na @ClamianT !
5
48
67
2,255
> Mnamhukumu Lissu kwa kesi ya kutengeneza, lakini msiisahau, hakuna dhuluma ya milele. Mambo hubadilika, upepo hubadilika. Kesho ni fumbo, na fumbo hilo linaweza kuwahukumu ninyi.
1
18
105
970
MOST WANTED JR retweeted
Mateso yote haya ni kwasababu nilienda Mahamani kufuatilia kesi ya Uhaini ya Mchongo aliyopewa Mh. Tundu Lissu, nikakamatwa Mimi na wenzangu 8 tukapelekwa pori la UNUNIO tukateswa kisha tukaenda kutupwa mbuga ya wanyama ya Pande Bagamoyo. Karibia mwili mzima umevilia damu, kukaa siwezi nalalia ubavu, mtatuumiza ila hamuwezi badili dhamira zetu za kupigania haki kwani tuna maanisha. Jiulizeni ni kwanini watu wanatekwa na kupotezwa lakini hatuachi, watu wanauwawa lakini haturudi nyuma, tunachokipigania kimetoka moyoni mtesa mwili lakini mioyo yetu imejaa haki. MSIOGOPE TUTASHINDA. NO REFORMS NO ELECTION
611
958
3,748
252,558
MOST WANTED JR retweeted
Tarime asante sana, Pamoja na kunyeshewa sana mmesimama imara kwaajili ya ukombozi wa Nchi yetu. Tunataka katiba mpya. Tunamtaka Mwenyekiti wetu aachiwe haraka.
19
194
728
22,905
MOST WANTED JR retweeted
#BREAKING: MASAIBU TANZANIA YAZIDI! POLEPOLE BADO HAJAPATIKANA: YUKO WAPI AU NANI KAMTEKA? Polepole alijikuta katikati ya mvutano wa kisiasa uliofikia kilele mnamo Oktoba 6, 2025, alipotoweka katika mazingira ya kutatanisha nyumbani kwake Ununio, Kinondoni. Tazama Simulizi ya jinsi alitoweka 👉: youtube.com/shorts/3PSedQTtd…
3
43
98
1,814
MOST WANTED JR retweeted
Leo ninaongea nanyi kuhusu haki ya kuandamana na haki ya kupinga serikali dhalimu iliyovunja mkataba muhimu wa kijamii tuliyokubaliana kama nchi kupitia katiba! #OngeaNaShangazi Samia Suluhu na CCM wametumia dola kuteka nyara mamlaka ya wananchi na we shall resist! Kwa amani na kwa focus kubwa lakini hatutakubali kutishwa kwani kuongelea maandamano na serikali dhalimu ni ibada na HAKI yetu! #JusticeForMO29 #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
10
135
365
14,768
MOST WANTED JR retweeted
UDALALI HAUHITAJI HISTORIA
Sawa hakuna wakuifuta history ya Mbowe @ChademaTZ2 lakini utambue Mbowe mwenyewe anafuta history yake @ChademaTZ2 Kama unabisha bisha tuu lakini ukweli ndio huo.
1
1
1
14
Mrs Mutungi @LembrusMchome mkundu naona UNAWASHA.
Kemgongo Media
3
6
378
MOST WANTED JR retweeted
Katika mfumo wa haki jinai unaofuata misingi ya utawala wa sheria, jukumu la msingi la upande wa mashtaka ni kuthibitisha tuhuma dhidi ya mshtakiwa bila kuacha shaka (beyond reasonable doubt) Katika kuthibitisha prima facie evidence upande wa mashtaka, tulitarajia kushuhudia ushahidi wa kina (substance) unaothibitisha vipengele vya kosa la uhaini kabla ya mshtakiwa kuamriwa kujitetea Kuamua ikiwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, Mahakama inapima iwapo Jamhuri imewasilisha ushahidi wa kina (substance of evidence) kuthibitisha kosa (ingredients of the offence) Jopo la majaji watatu walisema wao hawakujikita katika uzito wa ushahidi (substance of evidence), bali walizingatia tu kama Jamhuri imeeleza mashtaka yake kwa uwazi (clearly stated charges) Wafuatiliaji wa kesi na wadau wa sheria waliona ni kama mbinu ya kukwepa uwajibikaji wa kiufundi (escapism). Ruling on No Case to Answer haikuwa na uzito unaostahili to put the accused on defense Hii inaondoa maana halisi ya kiwango cha uamuzi wa prima facie evidence na inaleta mashaka iwapo uamuzi ulilenga kumpa mshtakiwa haki au ulilenga kumlazimisha kujitetea bila msingi wa kisheria Kosa la Uhaini ni miongoni mwa makosa mazito zaidi katika sheria zetu za jinai, ambalo linabeba adhabu ya kifo (kunyongwa hadi kufa) endapo mshtakiwa atapatikana na hatia mbele ya Mahakama Katika majumuisho ya mwisho (final submission), Jamhuri walisema kuwa matumizi ya neno “liable” katika kifungu cha sheria yanaipa Mahakama utashi (discretion) wa kutoa adhabu mbadala Wakaeleza kwamba Mahakama inaweza kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo. Wakafafanua kwa kueleza tofauti ya “shall be sentenced to death” na “liable to suffer death” Mantiki inayojitokeza hapa ni kwamba Jamhuri inamshtaki Tundu Lissu kwa kosa la Uhaini, adhabu ni kifo au kuachiwa huru, lakini wakati huo haitaki adhabu ya kifo itolewe kwa mtuhumiwa Kuna kila sababu ya kuchanganua ni kwanini Mawakili wa Serikali ambao wanawakilisha Jamhuri waonyeshe uelekeo wa kuomba adhabu mbadala au nafuu badala ya adhabu hiyo ya kisheria Ombi hili la adhabu nafuu halisukumwi na huruma ya Mawakili wa Serikali. Hawana huruma. Bali, ni ishara ya wazi kuwa Jamhuri inatambua udhaifu mkubwa wa ushahidi wake uliowasilishwa mahakamani Hii inatueleza kiwango cha ushahidi wa Jamhuri kilichowasilishwa hakikutimiza kizingiti cha zaidi ya shaka inayostahili (beyond reasonable doubt) kinacholindwa na Ibara ya 13(6)(b) ya Katiba Hata wao wanaelewa, hakuna ushahidi wa kosa la uhaini waliowasilisha. Hivyo upande wa Jamhuri unajaribu kujenga mazingira ya kupunguza athari za kisheria endapo hukumu ya hatia itatolewa Ombi la adhabu nafuu kwenye kosa linalobeba adhabu ya kifo ni mkakati wa kuhakikisha mahakama inapata mianya ya kutoa hukumu ya hatia bila kuibua mtafaruku wa kisiasa ndani na kimataifa Mwenendo unazua hofu kuwa Mahakama inaweza kuendelea kufuata mwelekeo na matakwa ya upande wa mashtaka badala ya kusimama kama mhimili huru unaopima haki kwa uwazi na usawa Endapo mtiririko huu wa kupindisha kanuni za kisheria ili kubeba matakwa ya kisiasa utaendelea hivi, tutaendelea kushuhudia kushuka kwa viwango vya kitaalamu vya mhimili wa mahakama Kuporomoka kwa imani ya wananchi katika mifumo ya utoaji haki si jambo linalotokea bahati mbaya; ni matokeo ya haki kupindishwa mara kwa mara katika mamlaka zenye dhamana ya kutoa haki Mahakama inapochukuliwa kama chombo cha kuratibu matakwa ya kisiasa badala ya kuwa ngome ya haki na ukweli, msingi wa amani, utawala wa sheria unakuwa hatarini. Huu ni ukweli dhahiri Justice must not only be done, but must also be seen to be done – Haki haipaswi tu kutendeka, bali lazima ionekane wazi ikitendeka. Maneno ya Jaji Lord Hewart katika kesi ya Rex v. Sussex Justices (1924) Hii ni kanuni muhimu ya utawala wa sheria: haki haitoshi kutendeka; mchakato na mazingira ya uamuzi lazima pia yaonyeshe kwa uwazi kwamba haki imetendeka. Ndiyo msingi wa hoja yangu “You will never find justice in a world where criminals make the rules/law” MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
6
111
451
18,117