Leo nimemaliza Kusoma Kitabu kinaitwa Bioterrorism and Biological Warfare: Disease as a Weapon of War,
Humu ndani kuna mwamba anaitwa SHIRO ISHII Itoshe kusema JAPAN ilikua imejipanga sana kutafuta silaha, Marekani Asingetumia silaha kubwa, Japan alikua mbali.