@HildaNewton21 Be careful my love, leo umetumika na Abdul na mama yake bila wewe kujua. Please be careful next time. Chuja content unazoletewa kwa kina.
Leo wanaharakati tumefanya dirty work ya CCM. Tuwasaidia kumchafua Mwigulu bila wao kuonekana wanahusika.
Watanzania, Tanzania amkeniii, tuhakikishe Mwigulu anatoka kwa style ile ile ya Nchimbi, CCM wamtoe mchana kweupe ila sisi tusiwafanyie hii kazi ya kumuondoa Mwigulu.
Yes, wote tunamchukia Mwigulu ila let’s look at the bigger picture . Mwigulu is a small fish in the ocean, let’s deal with the big sharks, SAMIA, Abdul, Kikwete…..